Kama umebahatika kufika nchini Holland jina la Albert Heijn litakuwa sio geni machoni mwako.Hii ni Supermarket kubwa yenye matawi kila kona nchini humo.Sasa imefahamika rasmi kuwa jina la Supermarket hiyo litaanza kuonekana kwa mara ya kwanza nchini Belgium sehemu za Braasschaat mwezi machi mwaka huu.Habari njema kwa wananchi wa Belgium.