Mwanamuziki chipukizi nchini Tanzania anayejulikana kwa jina la Diamond,hivi karibuni atatoa video ya nyimbo yake inayoitwa Nitarejea,Pichani mwanamuziki huyo akifanya moja ya matukio yaliyomo kwenye hiyo nyimbo yake ya Nitarrejea.Wapenzi na mashabiki wote wa Diamond msubiri kitu kizuri kinakuja karibuni madukani.