Malezi ya wenzetu jamani ni aibu tupu,nina Imani kuwa kama angekuwa mtoto wa kiafrika angeshaenda kulala kwa kibao atakachokipata toka kwa mzazi wake,ila kwa tamaduni za wenzetu ni kitu cha kawaida.