Mchakato wa kura za maoni wakati ukiendelea nchini Sudan,Halia sio nzuri kwa wenye kumiliki mifugo yao juu ya kuwapatia nyasi za kula ng'ombe hao.Pichani ni Sudan ya kaskazini hao jamaa wakiingia hata barabarani mjini kutafuta malisho ya n'gombe wao.