Baada ya kufungwa goli moja tu na timu ya Ipswich kocha mkuu wa timu ya Arsenal alishindwa kujizuia na alitamka hayaa "Tulikuwa wajinga sana. Niliwaambia wachezaji kama hamtaweza kushinda mchezo huu, basi jitahidini msifungwe," alisema Wenger.
"Nimehuzunishwa sana. Hatukuwa na mchemko, hakukuwa na ubunifu. Lakini nina matumaini makubwa tutashinda katika mchezo ujao nyumbani."