Kunywa mwananguu eeeh,sisi waafrika mwanangu eeeh hizi ndio glass zetu mwanangu weeeh..
Mzee using'oke mzee,yani hapaa full mazingaombwe hakuna wa kukutoa kabisaa,nami nitatoa ushirikiano wangu wote kwako mzee."Jidanganyeni  mnakaliwa vikao mtatoka tu"kama hamtaki muulizeni.................