Hali ya maisha inazidi kuwa ngumu siku hadi siku nchini Ivory Coast,watu wanazidi kuuliwa na wengine inawalazimu kuikimbia nchi yao kutokana na hali hiyo.Pichani watoto wadogo wakisubiri msaada wa usafiri ili wayanusuru maisha yao kutokana na vita hivyo vya wenyewe kwa wenyewe nchi humo.