Vyama viwili  nchini Belgium the Liberals na Christian democrats kwa sasa vimeingia katika mabishano makali juu ya kuanzisha sheria mpya za uhamiaji.Mkuu wa chama cha upinzani cha  N-VA  alisema kuwa hali hiyo inayotaka kuanzishwa sasa haikubaliki ila baadhi ya chama kingine kimetangaza mpango huo.mpango huo ambao unakuja na mikakati ya kuwanyima wahamiaji sheria 1.Mtu yoyote mwenye kujihusisha na matendo ya uhalifu,2.mtu yoyote aliyewahi kufungwa,3.mtu yoyote anayenyanyasa watoto wadogo,4.mtu yoyote anayeishi kinyume na sheria nchini,5.mtu yoyote aliyejihusisha na kusafirisha watu kwa njia haramu.Sheria hizi zitaahusu wale wote wenye makosa ya aina yoyote ukichanganya na hayo yaliyotajwa hapo juu.