Baada ya kucharazwa goli 2 -1 na Chelsea timu ya Manchester United leo tena wanakaribishwa Anfield kwa Liverpool,je Manchester watamaliza hasira zao kwa Liverpool?Sina haja ya kusema mengi,time na uwanja nimekuwekea waziiii mwenye kwenda aende,mwenye luninga aangalie...
Liverpool v Manchester United13:30Anfield
Wolverhampton Wanderers v Tottenham Hotspur16:00Molineu