Sio Simba wala Yanga aliyeweza kumtambia mwenzie katika uwanja wa Taifa(uwanja mpya) baada ya kutoka sare ya goli 1 - 1.Mpira ulikuwa mkali na wa kusisimua kila shabiki alifurahia kiingilio chake.