Baadhi ya washiriki wa shindano la uwanamitindo lililojulikana kwa Uni Fashion Bash kutoka vyuo mbalimbali vya mjini Dodoma wakicheza wakati wa utambulisho lililofanyika kwenye Royal Village Dodoma mwishoni mwa wiki.

Baadhi ya washiriki wa shindano la ubunifuwa mavazi lililojulikana kwa Uni Fashion Bash kutoka vyuo mbalimbali vya mjini Dodoma wakitambulishwa lililofanyika kwenye Royal Village Dodoma mwishoni mwa wiki
Baadhi ya wanamitindo wakionyesha umahili wao jukwaani wakati wa onyesho hilo.
Baadhi ya wanafunzi kutoka vyuo malimbali vya mjini Dodoma wakishangilia wakati wa shindano hilo.
Baadhi ya wanafunzi kutoka vyuo malimbali vya mjini Dodoma wakishangilia wakati wa shindano hilo.
Mshindi wa kwanza wa shindano la wanamitindo lililojulikana kama Uni Fashion Bash,Respicious Denis (kulia) akipokea zawadi yake ya shilingi laki tano kutoka kwa mwakilishi wa TBL kanda ya kati John Tesha lililofanyika  Royal Village Dodoma mwishoni mwa wiki.

Mshindi wa kwanza wa ubunifu wa mavazi lililojulikana kama UNI fashion Bash,Irene Rwakatale akipokea(kushoto) akipokea zawadi yake ya shilingi laki saba kutoka kwa Maneja wa Redis, Victoria kwenye Ukumbi wa Royal Village  Dodoma mwishoni mwa wiki.
Mwanamuziki wa nyimbo zakizazi kipya, Mwana FA akiimba wakati wa shindano la wanamitindi na ubunifu wa mavazi lililojulikana kama Uni Fashion Bash lililofanyika kwenye Ukumbi wa Royal Village Mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.