Mpita njia akipatana bei na muuzaji wa mapambo kando ya barabara ya Msimbazi, Kariakoo jijini Dar es Salaam, yakiwa ni maandalizi ya Sikukuu ya Krismasi. (Picha na Mohamed Mambo).