Rashidi Matumla 'Mtoa Sumu' akipiga panch Bang wakati wa mazoezi yake kabla ya kumkabili bondia maneno Osward Desemba 25.
Rashidi Matumla akiruka Kamba katika Kambi yake ya Mazoezi iliyopo Keko Dar es salaam leo.
Bondia Rashidi Matumla (kulia) akioneshana ufundi wa kutupa masubwi na Mohamedi Matumla wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano na bondia Maneno Osward Desemba 25 katika ukumbi wa Henlken Kijichi Dar es salaam.(Na super D boxing blog).