Hello wapenzi na wasomaji wa Maganga One Blog,kutokana na sababu za kiufundi leo tumeshindwa kuwepo hewani.Tunaomba radhi wa wapenzi wote wa Blog yenu kwa usumbufu wowote uliojitokeza na hii inatokana na mambo kuwa nje ya uwezo wetu.Tunategemea kurejea hewani endapo mambo yatatengemaa kwa haraka.

Ni matarajio yetu kwamba ombi letu mtakubaliana nalo,tunaomba radhi sana kwa matatizo haya yaliyojitokeza.
                                                   Maganga One Blogger.