Mwanamziki mkali wa Bongo Flava Nassibu Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnumz akiwa na mwanamuziki toka Nigeria Davido hapo jana kwenye show za Fiesta 2014 jijini Dar es Salaam wakiwapa burudani mashabiki wao.

Mwanadada toka jijini Dar es Salaam kwa jina la muziki anajulikana kama SHAA akiwadatisha wapenzi na mashabiki walifurika kuangalia show za fiesta kwa mwaka 2014 jijini Dar es Salaam.

Msanii kutoka Marekani anajulikana kwa umaarufu wa jina la T.I akilitimba jukwaa vilivyo hapo jana katika show za Fiesta jijini Dar.