Ile kuamka tu naangalia uwani kwangu naona majani yoote yamefunikwa na barafu,yani kwa kifupi huku kijijini kwetu mambo yameanza kuiva(kibaridi kimeanza sasa)hapa najishauri kwenda kutembeatembea.