Ligi kuu ya uingereza leo hii inaendelea tena kuchemsha washabiki wa timu zao,Wakati Machester United inaikaribisha Blackburn Rovers ndani ya Old Trafford huku Arsenal nao wanajitupa Villa Park kwa wenyeji wao Aston Villa,viwanja vingine nako vitaendelea kutimka vumbi.