Ukiwa benki unachukua pesa,benki yenyewe kama uionavyo pichani(ATM) kwa mtu au watu wabaya watakaokujia na kukulazimisha kutoa pesa ili uwapatie,Usithubutu kukataa wakubalie na unachotakiwa kufanya ni kama kwa mfano namba yako ya siri ya kutolea pesa ni 3344,wewe ibonyeze kinyumenyume yani 4433 pesa zitatoka ila hazitatoka zote zitatoka half way(zitatoka ila zitaishia kati)na wakati unabonyeza zile namba zako kinyumenyume kumbuka polisi watakuwa njiani kuja sehemu ya tukio na kabla zoezi la uchukuaji wa pesa zako kuisha polisi watakuwa wameshaingia kukusiadia.Hali hii inajitokeza sasa kila mahala duniani na wimbi la uhalifu linakuwa siku hadi siku,tujitahidi kupashana njia hii tafadhali.