Kwa Tanzania itakuwa usiku wa saa Tisa pale Mtanzania Hasheem Thabeet atakapoingia uwanjani na timu yake ya Memphins Grizzlies kupambana na wapinzani wao Cleveland Caveliers.Ukiwa na satelite yako tafadhali unaweza kufurahisha nafsi yako kwa kuangalia kiwango cha Hasheem kwenye timu yake na jinsi Hasheem Thabeet anavyoitangaza nchi yako.