Chuo chetu kikuu cha Mlimani leo hii kinatimiza miaka 50 toka kianzishwe rasmi.Na kesho kwa wale waliohitimu katika fani tofautitofauti watavaa kofia zao za heshima na kukabidhiwa vyeti kwa elimu ya juu waliyoipata.Leo hii kuna baadhi ya wahitimu wa chuo kikuu cha Dodoma wanavalishwa kofia zao za heshima.kila la heri wote mnaopata shahada zenu.