Jamani mnaopenda kuvuta tumbaku na mnaokaa na wavuta tumbaku.
Watu 600,00 wasio wavutaji sigara hufariki kila mwaka kutokana na kuvuta moshi unotokana na kukaa karibu na watu wanaovuta sigara.