Mchezaji wa kutumainiwa wa ligi kuu ya Italia seria A,Samuel Eto'o amefungiwa kucheza mechi tatu kutokana na kumpiga kichwa mchezaji wa timu ya Chievo.Shirikisho la soka nchini Italia limemfungia Eto'o kutokana na ushahidi wa mkanda wa Video waliouona baada ya mechi kwisha.
0 Comments