Kwa watu wapendao Majoka na machatu haya ukumbu huu wanaujua?ni bonge la la ukumbi ambalo limekubalika kimataifa katika anga zote.Jaribu wiki endi hii utapata jibu,nazungumzia FUSE CLUB-BELGIUM.