Mtoto huyu amezaliwa akiwa na ubongo nje (ubongo ulio wazi bila ngozi na nywele)kazaliwa katika wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro.Kama kuna mtu yoyote mwenye maarifa zaidi au anayemfahamu doctor bingwa duniani juu ya hali ya huyu mtoto jamani ajitolee nini kifanyike kuyanusuru maisha ya huyu mtoto.Hali ya mtoto na mama wa mtoto ni nzuri kabisaa.Ila nini kifanyike kwa huyu mtoto?Waungwana.
0 Comments