Mwendo kasi haufai,Kuendesha gari huku ukiwa umelewa hakufai na kuendesha gari huku ukiwa na simu ya mkononi sikioni unaongea.Kadhalika kuna baadhi ya madereva upendelea kuendesha gari huku wakiwa wanasikiliza muziki kwa sauti kubwa,Jitahidi kuzipunguza ajali kadri uwezavyo.
0 Comments