Unatumia muda gani kufanya kazi kwa wiki nzima?Unashinda sehemu za starehe masaa mangapi kwa wiki?Je unapata hata nusu saa ya kufanya michezo,maongezi au kuwatembeza watoto wako na mkeo?Kama huwafanyii mojawapo kati ya haya unawakosea haki za msingi.....Ewe mzazi au mlezi jitahidi kuyafanya haya kwa familia yako tafadhali ni muhimu sana tena sana.
0 Comments