VIAZI VITAMU AMBAVYO UKIFIKA TABORA KILA NYUMBA HUWEZI KUVIKOSA.
UKIMSACHI MNYAMWEZI YOYOTE MFUKONI MWAKE MKOANI TABORA HUWEZI KUKOSA KARANGA,KARANGA NI KAMA BIG G KWA MNYAMWEZI.
ASALI NA MAZIWA NDIO MAMBO YOTE KWA AFYA YA MWANADAMU ILA MAMBO HAYA KWA WANYAMWEZI NDIO MWAKE,JARIBU KUMTAFUTA MNYAMWEZI YOYOTE UTAPATA JIBU.
0 Comments