Mwanamuziki nguli wa Hip Hop nchini Marekani Snop Dog Doggy amesema yeye ni mtu wa kula nyama na kuku tu na si kingine.Amekuwa akigombana na rafiki zake na hata ndugu zake juu ya kutokula chakula kingine cha kuongeza nguvu zaidi ya kula nyama na kuku.Yeye mwenye anasema kuwa anainjoi zaidi anapokula milo hiyo.