Maandamano yaliyofanyika leo jijini Mwanza na wanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) hayakuwa na tatizo hata kidogo,watu wote waliandamana katika hali ya nidhamu na kuheshimu yale yote waliyoamrishwa,Polisi katika maandamano hayo hawakuwepo kabisaa.Hali hii imeonyesha ni jinsi gani raia/wananchi jinsi wanavyofuata sheria na taratibu za nchi.MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE.
0 Comments