Maisha ya mtanzania kwa kweli yanasikitisha sana,Ukianzia ugumu wa maisha yake,ugumu wa upatikanaji wa riziki yake mpaka ugumu wa mazingira yake anayoishi  huwezi amini kabisaa.Hali hii huwezi kuepuka magonjwa ya kuambukizwa na baadhi ya mambo mengi ya kijamii ambayo si mazuri kwa mwanaadamu.