Kwa watoto wa mjini wanaita KISWANGLISH,utakuta akiongea maneno kumi lazima manne yawe ya lugha ngeni ili mradi tu watu wajue kasoma,tena kwa Tz kuna makabila maalumu hayo kwa sifa hizii.Kama mnajua English ongeeni full yani mwanzo mwisho bila kuchanganya na kilugha kingine..