Baada ya kujibishana kati ya mteja na muhudumu katika bar moja (jina tunalo)mjini Mwanza mabishano yao hayakuwa na amani hata kidogo na matokeo yake mteja huyu kung'atwa sikio kama ujioneavyo..Chanzo cha ugomvi ni pale mteja aliponyimwa kijiti cha kusafishia meno.Walevi wote duniani angalieni ulevi una madhara makubwa sana.