Mtoto mdogo wa kichina aliye na umri mdogo usiozidi miaka 3 ila kama unavyomuona jinsi anavyoonekana kama mtu mzima,kwanza ana sura kubwa na pana,pili ana uzito zaidi ya kilo Ishirini,cha kushangaza ni kwamba ana afya nzuri na hana matatizo yoyote.Iga Ufe!!!
0 Comments