Nicolas Anelka akishangilia ushindi alioupatia timu yake ya Chelsea dhidi ya Kobenhavn kwa kuifungika timu yake goli 2-0.
 Wachezaji wawili mmoja wa Real Madrid kushoto na mmoja wa timu ya Lyon ya Ufaransa wakiwania mpira katika hekaheka za kuokoa na kutaka kufanga,hata hivyo timu hizo zilitoka sare ya kufungana kwa goli 1 -1.
Gomis baada ya kuisawazishia timu yake ya Lyon alishangalia sana kama umuonavyo pichani,alifunga goli moja na kulazimisha kutoka sare ya goli 1 -1 na timu ya Real Madrid.