Zaidi ya watoto 499 jana usiku ulikuwa usiku wao ambao hawatausahau pale walipojikuta wanalala ndani ya treni bila matarajio yao.Watoto hao ambao walikuwa wanaelekea Switzerland kwa ajili ya masomo ya mazingira nchini huko,walitangaziwa kuwa reli ina matatizo kati ya Brussels na Leuven kwa maana hiyo hakuna safari tena kwa usiku mzima mpaka kesho(leo) yake.kesho(leo) yake mambo yalitengemaa na safari ikaendelea kama kawaida.
0 Comments