Baadhi ya wakazi wa Makumira na maeneo jirani mkoani Arusha, wakiangalia mabaki ya basi dogo aina ya Toyota Hiace namba T 373 BGT baada ya kugongana na basi la Ngorika namba T 633 ANF katika eneo hilo Ijumaa. (Picha na Marc Nkwame).