Mkazi wa Kijiji cha Malowa, Kata ya Kibati, Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro, Mwanahawa Rashid (katikati) akiwa amebebwa na kijana anayefanya shughuli za kuwavusha wananchi ndani ya mto Mjonga baada ya daraja la Mto huo kubomoka kutokana na mafuriko ya mvua iliyonyesha Machi 23. Kulia ni mkazi wa Kibati na Kijana mwingine akimvusha mtoto. Daraja hilo ni kiungo muhimu kwa wakazi wa Kata ya Kibati na Diongoya, Wilayani humo. (Picha na John Nditi).
0 Comments