Dereva mwenye umri wa miaka 75 alisababisha ajali mbaya ambayo imesababisha majeruhi wanne akiwemo na yeye mwenyewe(dereva).akiendesha gari kwa umakini zaidi alipoteza mwelekeo na kuwagonga wengine wenye gari ndogo waliokuwa pembeni yao na kugonga watembea kwa miguu katika mji wa Flemish nchini Belgium jumamosi hii.
0 Comments