Serikali nchini Kenya imewaonya wanansiasa nchi humo kwa kuchochea wananchi kwenye mikutano yao ya hadhara.Serikali imeonya viongozi kufanya hivyo kwani kwa kufanya hivyo kunaeza kuleta mchafuko nchini humo.