Vijana wa Kiafrika wakiwaonyesha wazungu michezo ya kiafrika jinsi inavyochezwa.Vijana hap walipigiwa makofi kila action waliyokuwa wakiifanya kwa kuchezea vijipira vidogo ambavyo huwezi kuamini jinsi walivyokuwa wakivichezea.
Na wazungu nao hawakubaki nyuma kwa kuonyesha michezo yao ya kizunguzungu.kwa kweli tulifurahi sana kijijini kwangu kwa kuonyeshana manjonjo.
0 Comments