Mmmoja wa wafanyakazi wa Red Cross aliyejitolea kumuokoa mtoto mchanga kutoka kwenye moshi wa mabomu ya machozi jana jijini Kampala nchini Uganda.Kitendo hicho kilifuata baada ya wananchi kuandamana kutokana na kuongezeka kwa bei ya vyakula nchini humo,Polisi wa walianza kuwatawanya raia kwa mabomu ya machozi kiasi kila mmoja kukimbia alipoona panamfaa,Pichani waandishi wa habari kila mmoja akichukua picha kwa staili yake.
0 Comments