Mabenki nchini Kenya yamethibisha kuwa mikopo midogo midogo inayowapatia wananchi wake nchini humo kwa kiasi kikubwa sasa inaonyesha maendeleo kwa Taifa na kuondosha umasikini kwa watu wa kipato duni.Mabenki yamewataka wananchi kutoogopa mikopo na kuwasisitiza waende kwenye mabenki hayo na kuomba mikopo yenye masharti nafuu.
0 Comments