Zaidi ya wanawake 100 walioondaka nchini Uganda mwaka  2009 kwa kwenda Iraq kufanya kazi kwa wananchi wa kule hawajarudi nchi mwao mpaka leo na hawajulikani wapo wapi mpaka hivi sasa.Inasemekana alikuwa wakifanyishwa kazi za ndani kama atumwa nchini humo.