Zaidi ya watu 2193 wameomba ukimbizi kwa mwezi machi mwaka huu tofauti na mwezi januari ambako watu walikuwa wachache sana amesema msemaji wa wizara ya mambo ya ndani.Ongezeko hilo ambalo wengi wa wakimbizi ni kutoka Afrika ya magharibi,Guinea ambako wasichana wengi wanakimbia kwa kulazimishwa na ndoa na tohara za lazima.Inaonekana wasichana kwa wavulana wenye umri usiozidi miaka 18 wamekuwa wakikubaliwa ukimbizi huo na wengine kukutaliwa kutokana na kudanganya umri wao.Akiendelea kusema msemaji huyo,amesema wimbi kubwa la wakimbizi ni kutoka Afghanistan,Sebia na Kossovo ukiachilia hao wakimbizi kutoka Guinea.
0 Comments