Baada ya Bongoflava blog kuanzisha mpambano wa nani mkali kati ya Young D na King Zilla na kuwapa fursa wananchi kumpigia kura yule wanaoona kwao ni mkali,mpambano umekwisha na mshindi amepatikana kuwa King Zilla ameibuka mshindi kwa asilimia 56 kwa 44 dhidi ya Young D.Maganga One blog inapongeza sana vijana kazi wa Bongoflava Blog kwa kazi hii ya ubunifu wao mzuri,kadhalika tunampongeza kijana King Zilla kwa kumshinda Young D.
Kingi Zilla ambaye binafsi namkubali kwa staili yake ya kumuiga 50 Cent kwa sauti inayoendana kabisa na msanii huyo wa Marekani.
0 Comments