Meneja wa Standard Printers, John Mcharo, (wa pili kulia) akimuonesha mabati maalumu ya kuchapishia magazeti Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa Chama Cha Mapinduzi (MNEC), Nape Nnauye, (wa pili kushoto) alipotembelea kiwandani kuona shughuli za uchapishaji wa magazeti ya Serikali ya Daily News, Sunday News, HABARILEO na HABARILEO Jumapili. Kushoto ni Kaimu Mhariri Mtendaji, Mkumbwa Ally na Msanifu Kurasa, Geoffrey Ng'humba (Picha na Yusuf Badi).