IMAMU WA MSIKITI alipitisha mchango wa kuchangia Ujenzi wa Msikiti. Waumini/Waislam wakatoa Tshs 350,000/=tu. Ghafla Majambazi wakauteka Msikiti na kuamrisha kila Mtu atoe alichonacho mfukoni! Wakakusanya Tshs Milioni 8, Laki 2 na Senti 40 na Kumkabidhi IMAMU ili aendeleze Ujenzi wa Msikiti. Je Majambazi wana dhambi au Waumini? Fafanua kwa elimu yako juu ya tukio hili.Maoni na mtazamo wako ruksa....!!!
1 Comments