Jinsi washabiki walivyomkubali kijana Diamond,ameahidi kurudi tena siku za usoni.Pichani bidada NIA mwenye gauni jekundu alipata bahati ya kuimba nyimbo ya NITAREJA na Diamond.
 Mwanamke mguu jamani,Diamond ana kila sababu ya kurudi Holland kwani madada wa Holland walimpagawisha juu ya stage.
 Mzuka unapopanda pembeni ya stage kila mmoja ucheza kwa staili yake,angalia jinsi wanadada wakiyarudi bongo fleva,kwa kweli muziki wetu kwa sasa tunaupenda na unapendwa barani afrika na duniani kwa ujumla.



Kila mmoja alimpa Big Up Diamond.
 Mashosti waliopendeza ukumbini hapo
 Kuna mtu hamjui huyu bwana mwenye fulani ya bluu?ni maarufu sana hapa Ulaya anafahamika kwa jina la KABILA naye alikuwepo usiku wa Diamond.
Utasema Beyonce na Rihanna,kumbe madada zangu wa Holland Namzungumzia Zaitun kushoto na Zuhra mwenye white.