Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais Mstaafu, John Malecela(kulia) alipofika kumjulia hali nyumbani kwake mjini Dodoma. Malecela alifanyiwa upasuaji wa moyo nchini India na hali yake inaendelea kuimarika. (Picha na Muhidin Sufiani-OMR).