Kwanini hamkuvaa kofia kichwani?eeeh...!!! Fimbo tu hakuna cha kupelekana pembeni kuombana rushwa...Hivi waungwana ukipigwa na hiyo bakora mgongoni kama mara sita kwa wakati mmoja huoni kama siku nyingine huwezi kurudia kosa?nyumbani hawataki kujichukulia sheria mkoni,lakini rushwa ni sheria miguuni?